Mh/N,Waziri Dotto Biteko wakiwa na uongozi wa madereva wa Tanzania na Reliance Solutions. Wakiwa kwenye kongamano la madereva Tanzania wakimpongeza Rais wa Jamhuri wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoendelea kuifanya na pia kujadili changamoto zinazowakumba madereva na kuonyesha DEMO ya Mfumo wa Kazi Data wa Dereva Tanzania, www.dereva.co.tz.